Tuesday, October 23, 2012
JK Afungua Mkutano Wa UVCCM Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mwenyekiti anayemaliza muda wake wa UVCCM, Benno Malisa alipowasili ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma kufungua Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya hiyo ya vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Meza kuu na sehemu za wajumbe katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa nane wa Jumuiya ya Vijana wa chama tawala leo Oktoba 23, 2012
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua mkutano wa UVCCM.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na viongozi wa UVCCM pamoja na ujumbe wa viongozi wa jumuiya za vijana toka nchi mbalimbali marafiki
:
Picha na Muhidin Michuzi
No comments:
Post a Comment