Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Amaani
Abeid Karume, akiendesha kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya
CCM Zanzibar, kilichofanyika mjini Zanzibar leo. Kushoto ni Rais wa
Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM Taifa, Dk. Ali Mohamed Shein
No comments:
Post a Comment